×
Home: Mobile Home: Original Style Christian Netflix Jewish Stories X-Witch X-Muslim MP3 Bible Bible Movies Gospel Videos Godly Movies CBN Videos Kids Videos Worship Music Vids for New Believers Random Video What's New
  Kat Kerr   Anna Rountree   Mary Baxter   Several #1   Several #2   Choo Thomas   Ian McCormack   Burpo   I saw His Glory   7 Colombian Youths   Heavenly Blood   Heaven Testimonies
  Lazarus   Bill Wiese   Mary Baxter   Dr. Rawlings   J. Perez   Hepzibah   Ptr. Park   7 Columbian Youths
  Atomic Prayer   Prayers that ROUT demons   Warfare + Blessing   Healing   Declaration   101 Decrees   Tongues   Rosary   Artic Fire   Why Should We Pray?   Why Bother
  MP3 Bible   10 Commandments   Learn Bible in 24 Hours   40 Spiritual Lessons   Alpha   Foundations   Bible Commentaries   Book of Mormon   Temple Study   Red Letters   Divine Healing Training   God Story   Gap Theory   Creation to Christ   Book of John   Kids Bible Cartoons   Derek Prince Teaching   Jesus Film   Digital Bible   Bible Codes ELS
  Passion of Christ   New Jesus Film   Introduction   Names of God   Jesus IS...   Jesus Film   That's My KING   Father's Love Letter   Celestial Hug
  Warfare Training 1   Warfare Training 2   Casting Out demons   Combat   Examples   Warrior King   Exorcism   Prayer   Ask Him   demonology   Clarita   NUWI
  Final Quest   The Call   Tommy Hicks   3 Days   Angel Song   The Prison   H.A.Baker
  Best #1   Best #2   Spiritual Food   Generals   Ramirez   Bishop Kelley   Gary Wood   Roland Buck   Rees Howells   Baptized by Fire   Sid Roth   Todd White   Gary Beaton   Victor Marx   Akiane   Theo Nez   Nun's Story   Retha McPherson   Tomas Welch
  Booth's Vision   Frank Jenner   Hell's Best Kept Secret   EE-Taow   Manifesting Power   LivingWaters   Atheist Delusion   Using AI for Jesus   Sharing w/ Muslims   Sword + Serpent
  Revival Hymn   Jesus in China   Freemason Curruption   Modern Child Sacrifice   the WAR on Children   XGay   Transformations   Ark of Covenant   Soul Ties   Last Reformation   Noah's Ark Found   Does GOD Exist   Political Issues   Fake Mountain   7 Mountains   ID vs Evolution   Bible Science   American History   China Records   Case: Creator   Case: Christ   Case: Faith   Little Lessons   Deadly Mistakes   Enemies Within   Chinese Characters   Global Warming   The Final Frontier   Understanding Israel   Testing Joseph Smith   Targeting Kids
  X-Muslim   Journey of Hope   Islam Rising   ACT   Jihad   Best Muslim Story   Enemies Within   Answering Islam   Killing for Heaven   Killing the Infidel
  Downloadable MP3 Worship Music   Online Worship Music  DivineRevelations University   Free Posters   Christian Pictures   Kids Christian Cartoons   Bible Trivia   End Times Visions   Fractal Praise   Communion Verses   Bobby Conner   Brother Yun   Civil War   Prayer Tank   Fiscal Cliff   Understanding Economics   Who takes the Son   Christian GPTs
  All Languages   Afrikaans   Albanian   Amharic   Arabic   Bengali   Bulgarian   Burmese   Cambodian   Catalan   Chinese   Czech   Danish   Dutch   Farsi   Finnish   French   German   Greek   Gujarati   Hausa   Heberw   Hindi   Hungarian   Indonesian   Italian   Japan   Kannada   Khazanah   Korean   Laos   Malagasy   Malayalam   Malaysian   Marathi   Mongolian   Nepali   Norwegian   Oriya   Polish   Portuguese   Punjabi   Romanian   Russian   Somali   Samoan   Serbo_Croatian   Sinhala   Slovak   Slovenian   Spanish   Swahili   Swedish   Tagalog   Tamil   Telugu   Thai   Tongan   Turkish   Ukrainian   Urdu   Uzbek   Vietnamese
 About  Disclaimer  Phone# USA 425-610-9216  [email protected]
Follow on YOUTUBE  YouTube Follow on Facebook  Facebook Follow on X/Twitter  X/Twitter Follow Podcast RSS  Podcast  RSS Follow on Instagram  Instagram Follow on TikTok  TikTok
  PDF Library   Believer's Authority   Heavenly Man, Yun   Torch + Sword   The Harvest   Faith Shoemaker's Vision   Daughter of Sacrifice
AI Tech Site Something Funny... 2nd Page, Older Material
×


Menu / Home
Menu / Home


HTML Bible Passion of the Christ Gospel Go Ethnic Harvest Christian Video Gospel Tracks 4 Spiritual Laws MP3 Gospel of John HTML Bible CHM Bible (Windows Help Format) Translators Needed!


Swahili-Cango           Swahili Kenya           Swahili-Tanzania           Kuzimu na Kurudi           Ufunuo wa Yesu Kuhusu Kuzimu           MBINGUNI NA JEHANAMU: ELFU KWA MOJA           Dakika 23 Kuzimu na Bill Wiese           Masaa 8 Mbinguni           Kuzimu ni Halisi, nilikwenda huko!           Nafasi ya Pili--Ufufuo wa Theo Nez           Muujiza wa Uponyaji na Mualiko wa Mbinguni           Maono ya Unity           KWA NINI TUOMBE           Ufunuo wa Mbinguni           KUKOMBOLEWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA           Ufunuo wa Kuzimu

KWA NINI TUOMBE
Na Hollie L.  Moody      English
Spanish  French  Malaysian  Korean  Portuguese  Thai  Telugu  Hindi  Japanese  German  Chinese-Trad  Swahili

Niliona Bwan amekaa kwenye kiti cheupe cha ufalme. Mlolongo wa watu  bele yake. Nilishangaa kwa jinsi hao watu hawakuwa na uso. Nafasi ya uso palikuwa bure.

Wakati kila mtu alikuja mbele ya Bwana, Angefungua kitabu na kusoma ndani yake mambo yote ambayo huyo mtu alitenda. Kila kitu kilinakiliwa; na Bwana aliso kitabu chote kutoka mwanzo hadi mwio. Kilo mtu katika ule mlolongo alihukumiwa na kwenda jehanamu. Kilwa wakati Bwana angemwambia mtu amehukumiwa huyo mtu angeanza piga mayowe na kulia akimwomba Bwan ampe nafasi mara moja tuu. Bwana alitiririkwa na machozi mengi akitikisa kichwa chake akiwambia kila mmja wao ya kwamba alimpa nafasi nyingi ulimwenguni kutubu na kuokoka ili aje kuishi na bwana mbinguni lakini walipuuza. Hii iliendelea kwa mda.

Hatimaye Bwana aliniangalia na kuniuliza "Jee mbona hufanyi kitu chochote?" Nilichanganyika. "Jee wataka nifanye nini Bwana?" Nilimjibu. "Omba" Bwana alinijibu. Kwa hivyo nikaanza kuomba bilo maanani. Baada ya mda kidogo Bwana aligeuka kwangu na kusema, " Angalia hawa watu, kweli waangalie kabisa". Nilipo fanya hivyo nyuso zao zilioneka kwangu. Wakawa watu ninao wafahamu kidogo tuu. Ni watu tunafahamiana kidogo. Nikaanza kuwaombe kwa bidii kidogo. Baada ya muda kidogo Bwana aligeuka tena kuniangalia kwa nguvu na hasira na akasema, "Angalia hawa watu mara tena". Sasa hawa watu wakawa marafiki. "Lazima uombe kwa nguvu", Bwana akaniambia. Nikaanza kuomba kwa nguvu kidogo. Lakini bado mlolongo wa watu ulikuja mbele ya Bwana, ange soma historia ya maisha yao kutoka kwa kitabu na kuwahukumu.

Mara nyingina Bwana akageuka kwangu mara hii na gadhabu. Alikuwa bado analilia mioyo zinazohukumiwa. " Kwa hakika unaelewa kinacho fanyika hapa?" akaniuliza Bwana. " Tazama!!" Hatimaye, shimo lilifunguka nyuma ya mlolongo wa watu. Nilitazama kwenye shimo hilo. Kulikuwa na giza kingi sama kutoka shimoni. Nilisika vilio, mayowe, na kelele toka shimoni. "Nenda uangalie" Bwana aliniamuru. Sikutaka kwenda. Niliogopa, lakini nguvu kama mkono ulinisukuma kutoka nyuma  kunisukuma hadi kwenye ukingo wa hilo shimo jeusi.

Nilipofika ukingoni mwa hilo shimo jeusi, niliangalia chini ndani yake. Nilirudi nyuma kwa vitisho. Niliona chini ya hilo shimo. Lilionekana shimo ndefu sana. Mule chini mulionekana watu wengi sana wana geukageuka kwa wingi na kufinyana huko chini hadi ilionekana kama hakuna nafasi katikati yao. Mule ndani kulikuwa na mwiale za moto na moto mwekundu kutoka kwenye lile shimo nyeusi. Nilinusia chemicali ya salfa. Niliona mwile na moto. Nilihisi joto jingi sana kutoka kwe ule moto. Niliona wadudu wakipanda na kutembelea juu ya wale watu mule shimoni jeusi. Watu walikuwa wanawaka moto lakini hawachomeki na kwisha, lakini wakuwa wana chomeka na kupiga nduru kwa uchungu wa moto. Walikuwa naangalia juu kutoka mule shimo jeusi. Walibeba mikona yao iliekea juu kwa huruma. Walikuwa waki sukumana kama mawimbi ya bahari kwa pamoja. Walikuwa wakipiga nduru na makelele ya uchungu na huruma nyingi na kutaka kuokolewa. Lakini hakuna huruma wala kuokolewa wala kukombolewa.

Nili songa nyuma kutoka kwa ukingo wa lile shimo kwa hofu na uoga mwingi sana. Nilimugekia Bwana alie kuwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi. Alikuw bado a soma kutoka kwenye vitabu vya hukumu. Niliona kitita kibubwa bila kikomo cha msongamano cha vitabu karibu na kiti cha Enzi. Nakikajua ya kwamba wale wote ambao witabu vyao vimeandikwa wanaenda kuhukumiwa. Niliangalia laini ndefu bila kikomo ya watu ambao walikuwa mbele ya Bwana walingoja hukumu yao. Sasa nikaona kila uso sura yake vizuri kikamilifu. Walikuwa marafiki wangu, jamii yangu and jamaa wangu. Na walikuwa wanahukumiwa. Naliona wakitupwa kwenye lile shimo nyeusi ndefu, nilisikia wakilia na kusaga memo na kupiga nduru ya uchungu walipo anguku kwenye lile shimo nyeusi.

Bwana alinigeukia kwa machozi ya kimtiririka mashavuni nakusema "sasa omba". Nikaanza kulia na kupiga nduru kwa Bwana Mungu kuhurumia hawa watu asiwahukumu kwenda motoni. Kila mtu alipohukumiwa, nilikimbia kwenye ukingo wa lile shimo kujaribu kuzuia naku jaribu kuwavuta nyuma ili wasianguke mule shimoni. Ninge washika kwanguvu mikono yao na kujaribu kuwazuia lakini wangepita mikononi mwangu bila shida na kuingio shimoni kwa kishindo. Nilikuwa na hofu na maangaiko kwa kujaribu kuoko wapendwa wangu wasianguke kwenye lile shimo la moto wa kutisha. Nilikimbia nikashika Bwana Mungu na mkono mmoja na mwingine nikijaribu kutoa wale walio hukumiwa kwenye lile shimo la moto bila kufaulu.

"Acha kunishika" Bwana Mungu aliniambia. "Nikikuacha nitaingia shimoni mimi" nikalilia Mungu. "Acha kunishika" Bwana Mungu alisema tena. Nilimwachilia. Nilihisi mikono ya nguvu isioonekana ilinishika kwa nguvu. Nililala chini karibu na ukingo wa lile shimo la moto na kuelekeza mikono yangu mle ndani kuzuia wasiingie mule shimoni. Nilisikia na kuhisi na chomeka na mwiale and moto kutoka mule shimoni. Wakati mwingine nilihisi makucha makali yakinichuna kwa nguvu kutoka mule shimoni. Niliona mikono yangu ikichomeka na pia alama na mikwaruzo ya makucha.

Nilikuwa nalia kwa hofu nikimwita Bwana Mungu kuokoa hawa watu wangu amboa nawapenda. Nilikuwa naomba Bwana Mungu kuhurumia hawa watu ya kwamba asiwahukumu waende mle shimo la moto. " Ni rahisi kuombe watu waliopotea wakiwa ni wa penzi wako" Bwana Mungu aliniambia. "Kumbuka waliopotea hawa wote ni wapenzi wangu, nataka watoto wangu wote wawaombee hawa waliopotea vile unawaombea sasa hivi. Nitainua uzazi wa waombezi kusimama kwenye pengo kwa wanangu wapotevu. Hawa waombezi watahisi moto wa kuchomeka na vita watakapo chomeka. Nguvu za kuzimu zitawapinga na kuwadhulumu nakupigana nao. Walakini nitakuwa nao nakuwashikilia. Sasa omba"

--Hollie L. Moody